Fri 30, Oct 2015 at 17:51:29   |  Rais akutana na waangalizi wa Uchaguzi kutoka EAC
Thu 13, Aug 2015 at 16:11:06   |  MKUTANO WA 32 WA BARAZA LA MAWAZIRI
Fri 29, May 2015 at 13:15:10   |  HOTUBA YA BAJETI MEAC 2015/2016
Mon 23, Feb 2015 at 10:29:11   |  PRESIDENT SPEECH EAC SUMMIT FEB 20, 2015
Mon 17, Nov 2014 at 16:38:03   |  EALA to Hold Plenary in Nairobi Next Week
Mon 08, Sep 2014 at 11:36:07   |  House Passes Key Resolution on PWDs

UZINDUZI WA MRADI WA LIFT

Mradi wa Logistics Innovation for Trade (LIFT) ulizinduliwa Novemba 2013 kwa ajili ya kusaidia sekta binafsi kufanya ubunifu wa teknolojia ambazo zitasaidia kupunguza changamoto za usafirishaji katika Jumuiya ya Afrika Mashariki na hivyo kuboresha biashara. Mradi huo ulianzishwa na TRade Mark East Afrika.