Fri 30, Oct 2015 at 17:51:29   |  Rais akutana na waangalizi wa Uchaguzi kutoka EAC
Thu 13, Aug 2015 at 16:11:06   |  MKUTANO WA 32 WA BARAZA LA MAWAZIRI
Fri 29, May 2015 at 13:15:10   |  HOTUBA YA BAJETI MEAC 2015/2016
Mon 23, Feb 2015 at 10:29:11   |  PRESIDENT SPEECH EAC SUMMIT FEB 20, 2015
Mon 17, Nov 2014 at 16:38:03   |  EALA to Hold Plenary in Nairobi Next Week
Mon 08, Sep 2014 at 11:36:07   |  House Passes Key Resolution on PWDs

Kuna uhusiano gani kati ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa?

Answer: 

Wizara hizi zinahusika na mahusiano ya Tanzania na nchi za nje, ila Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki inasimamia na kuratibu uendelezaji wa mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Hivyo wizara inasimamia na kuratibu utekelezaji wa Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, (Treaty) na Itifaki zake (Protocols), na miradi iliyopo chini ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.