Fri 30, Oct 2015 at 17:51:29   |  Rais akutana na waangalizi wa Uchaguzi kutoka EAC
Thu 13, Aug 2015 at 16:11:06   |  MKUTANO WA 32 WA BARAZA LA MAWAZIRI
Fri 29, May 2015 at 13:15:10   |  HOTUBA YA BAJETI MEAC 2015/2016
Mon 23, Feb 2015 at 10:29:11   |  PRESIDENT SPEECH EAC SUMMIT FEB 20, 2015
Mon 17, Nov 2014 at 16:38:03   |  EALA to Hold Plenary in Nairobi Next Week
Mon 08, Sep 2014 at 11:36:07   |  House Passes Key Resolution on PWDs

Je inakuwaje kunakuwa na Wizara ya Ushiriki- ano wa Afrika Mashariki wakati tulikataa wazo la Afrika Mashariki wakati wa kukusanya maoni mwaka jana?

Answer: 

Kilichokataliwa na wananchi mwaka 2007 ni kuharakishwa kwa Shirikisho la Kisiasa ambapo wananchi walitaka twende kwa utaratibu uliokubaliwa katka Mkataba ambao ni wa hatua kwa hatua, tukianza na hatua ya Umoja wa Forodha ikifuatiwa na Soko la Pamoja na kisha Sarafu moja na hatimaye Shirikisho la Kisiasa. Hivyo Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeundwa kusimamia shughuli hizi.