Fri 30, Oct 2015 at 17:51:29   |  Rais akutana na waangalizi wa Uchaguzi kutoka EAC
Thu 13, Aug 2015 at 16:11:06   |  MKUTANO WA 32 WA BARAZA LA MAWAZIRI
Fri 29, May 2015 at 13:15:10   |  HOTUBA YA BAJETI MEAC 2015/2016
Mon 23, Feb 2015 at 10:29:11   |  PRESIDENT SPEECH EAC SUMMIT FEB 20, 2015
Mon 17, Nov 2014 at 16:38:03   |  EALA to Hold Plenary in Nairobi Next Week
Mon 08, Sep 2014 at 11:36:07   |  House Passes Key Resolution on PWDs

Je tumejiandaa vipi katika suala la elimu?

Answer: 

Tanzania imeweka mikakati madhubuti katika suala zima la kuboresha elimu kwa kutoa elimu bora na ya kiwango kuanzia shule za awali hadi vyuoni. Aidha, kuna kamati ya mitaala ambayo imeundwa ikijumuisha wajumbe kutoka nchi wanachama, lengo kuu ni kuoanisha mitaala ya elimu katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.