Fri 30, Oct 2015 at 17:51:29   |  Rais akutana na waangalizi wa Uchaguzi kutoka EAC
Thu 13, Aug 2015 at 16:11:06   |  MKUTANO WA 32 WA BARAZA LA MAWAZIRI
Fri 29, May 2015 at 13:15:10   |  HOTUBA YA BAJETI MEAC 2015/2016
Mon 23, Feb 2015 at 10:29:11   |  PRESIDENT SPEECH EAC SUMMIT FEB 20, 2015
Mon 17, Nov 2014 at 16:38:03   |  EALA to Hold Plenary in Nairobi Next Week
Mon 08, Sep 2014 at 11:36:07   |  House Passes Key Resolution on PWDs

Je hatua gani zinachukuliwa na Wizara ili kuondoa hofu ya wananchi kuhusu Afrika Mashariki?

Answer: 

Kama wizara tunatekeleza programu mbalimbali za kuwaelimisha wananchi kuhusu Jumuiya kwa njia ya redio, luninga, magazeti, mihadhara, makongamano, tovuti, machapisho. Programu hizi zote zinalenga katika kuwafanya wananchi wote kufahamu vema fursa zipatikanazo katika Jumuiya ya Afrika Mashariki na hivyo kuzitumia vema. Aidha katika majadiliano ya kuanzisha soko la pamoja ilikuwapo hofu ya ardhi ya Tanzania kuchukuliwa. Serikali imehakikisha kuwa suala hili litaendelea kuongozwa na sera na sheria za nchi