Fri 30, Oct 2015 at 17:51:29   |  Rais akutana na waangalizi wa Uchaguzi kutoka EAC
Thu 13, Aug 2015 at 16:11:06   |  MKUTANO WA 32 WA BARAZA LA MAWAZIRI
Fri 29, May 2015 at 13:15:10   |  HOTUBA YA BAJETI MEAC 2015/2016
Mon 23, Feb 2015 at 10:29:11   |  PRESIDENT SPEECH EAC SUMMIT FEB 20, 2015
Mon 17, Nov 2014 at 16:38:03   |  EALA to Hold Plenary in Nairobi Next Week
Mon 08, Sep 2014 at 11:36:07   |  House Passes Key Resolution on PWDs

Bidhaa za Rwanda na Burundi zinatozwa ushuru kiasi gani?

Answer: 

Bidhaa za Rwanda na Burundi hutozwa ushuru wa asilimia 20 tu hii ni baada ya makubaliano kwamba Rwanda na Burundi hazitozwi ushuru katika biashara kati yake na Kenya na zimepunguza ushuru kwa asilimia 80 kwa bidhaa zitokazo Uganda. Kwa kuwa Rwanda na Burundi zimekubali kupunguza ushuru wa forodha kwa asilimia 80, Tanzania nayo iliafiki
kupunguza ushuru kwa kiwango kama hicho.